Description
Grenda ya kuchaji yenye uwezo wa kukata vitu mbali mbali kama vile mbao, chuma, vigae, vioo, n.k
inakuja na betri mbili ambazo zitakuwezesha kufanya kazi hata zisizo na umeme kwani betri hizo zinaweza kukaa na chaji zaidi ya masaa manne 4 kila betri moja