Description
Vaccum cleaner mashine inayoweza kufanya usafi kwa kuvuta uchafu kwa nguvu sana
inaweza kufanya usafi wa vitu mbali mbali kama vile usafi wa ofisini, nyumbani, kuoshea masofa, kuoeshea siti za magari, kusafisha madirisha n.k
mashine hii ina power kubwa sana inaweza tumika kwa matumzi ya nyumbani na matumizi ya kibiashara