Description
Circular saw ni aina ya msumeno wa umeme wenye blade ya mviringo (duara) inayozunguka kwa kasi. Kazi yake kuu ni:
Kukata mbao kwa usahihi na kwa haraka
Kukata metali, plastiki, au saruji (kulingana na blade inayotumika)
Kufanya kazi za useremala kama vile kutengeneza samani, fremu za milango na madirisha
Kukata kwa mistari ya moja kwa moja au kwa pembe maalum (ikiwa na kipimo sahihi)