Description
Hama drill ya umeme yenye nguvu yakutindua na kutoboa ukuta wa aina yoyote.
-Tindua na kutoboa kuta ya aina yoyote bila kutumia nguvu
-Inakua na bits za kuanzia
-Okoa muda, piga pesa
-Epuka madhara ya kuweka nyufa na kuharibu kuta kwa kutumia vifaa vya kizamami