Description
Hama drill ya kuchaji yenye uwezo wa kutindua na kutoboa kuta za aina yeyote
-Fanya kazi sehemu yoyote yenye umeme na isiyo na umeme bila kipingamizi
-Inakua na battery mbili 2 zenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu
-Hutindua kitaalamu bila kuweka nyufa za kuta
-Huokoa muda na ufanisi wa hali ya juu.