Description
Grass cutter/brush cutter (panga kichaaa) mashine ya kufyeka na kukata miti pamoja na vichaka
-Inatumika kuandalia mashamba kwa kufyeka na kutata vichaka kuwa tayari kwa kulima
-Inakata nyasi, vichaka, pamoja na miti
-Inatumika kuvunia mpunga
-Badili vikatio (disk) kadri ya matumizi yako
-Okoa muda na pesa