Description
Mashine ya kuchomea ya moto 300 yenye uwezo mkubwa wa kuunga vyuma
-Haipati joto kwani ina feni kubwa za kupooza
-Inakuwezesha kuchomelea kwa muda mrefu bila kupata joto
-Tumia kuchomea vitu mbali mbali kama vile madirisha, milango mageti, vitanda vya chuma, viti pamoja na vitu vyote vinavyohusisha uungaji wa vyuma
-Ni nzuri kwa ajili ya biashara na matumizi binafsi