Description
Mashine ya kisasa kabisa kwa ajili ya kukatia aluminium pamoja na mbao kwenye angle (engo) tofauti tofauti kwa mfano angle (nyuzi) 30, 45, 90
-inakata mbao kwa engo (angle cut) kwa ajili ya kuanganisha fremu, milango,dirisha, au moldings
-Huongeza ufanisi katika kukata mbao,aluminium kwa usahihi na haraka zaid
-Inafaa kwa uzalishaji mkubwa na biashara
-Pia inaweza kubadili matumizi kutokana na wewe unavohitaji kama vile kukata aluminium, mbao kukata miata cut, bevel cuts, compound cuts
-Ni salama sana kuliko msumeno (saw) za mkono