Description
Extention cable metre 50
-Unaweza kuunga umeme ata sehemu ya mbali bila shida
-Okoa muda na pia linda vifaa vyako visiungue kwani extention cable hii ina fyuzi zenye uwezo wa kudetect kiwango cha umeme kinachoweza kusababisha shoti katika vifaa vyako vya umeme