← Back BUYDZM

MASHINE YA KUJAZA YA UPEPO YA KUCHAJI

Category Automotive

MASHINE YA KUJAZA YA UPEPO YA KUCHAJI

Tsh 190,000
Seller: Mawo Buy
Active
Vendor Account
Mawo Buy

Description
Mashine ya kuchaji ya kujaza umeme yenye uwezo wa kujaza upepo wa magari, pikipiki, pia magari makubwa -Unaweza kuitumia ata sehemu ambazo hazina mafundi unapopata hitilafu -Inakuja na battery mbili zenye uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu -Pia inaweza kusoma geji itakayo kuwezesha kupima kiasi cha upepo kwenye kila taili kwa usalama zaidi