Description
Rotter ya umeme inayotumika kutengeneza edge (eji) za mbao kwa ajili ya kupata funiture zenye mvuto
-Fanya usahihi na ubora wa finishing katika samani (furniture) zako
-Kuokoa muda wa kazi
-Ongeza thamani ya bidhaa zako kwa kujitofautisha kwa kuchonga michoro na eji za kitofauti
-Kata groove, tengeneza paneli zenye mapambo
-Fanya kazi ya kuchonga na kupamba ukuta, milango, na madirisha kwa haraka na ufanisi